Compiled by Zogoa Team

Boy: Babe  are you okay?

Girl: Am pregnant

Boy: What? But we used protection

Girl: Did I say that it’s yours?

Madem hawapendi ujinga


Teacher: Mtu amesoma na akona mali anaitwa nani?

Me: Msomali

Saa hii niko staffroom nangoja afike

Sipendangi ujinga mimi


Fruits bragging

Apple: I look like a human heart

Mango: I look like the stomach

Grapes: I look like the eyes

Banana: Please, please ,please change the topic

Fruits pia hazipendi ujinga


Nimeumwa na jino moja la upper jaw

Sasa nimengoa meno yote ya lower jaw iwe funzo kwa upper jaw

Sipendi ujinga mimi


I was fired from an  Mpesa shop coz I kept asking the customers “nguo ama?” everytime they asked “naeza toa?” Sipendi ujinga mimi


Nimeita wasee bash nkabuy nyama ya 50 nkachanganya na sossi mafala wamemanga wakithani nmebuy kilo ya nyama juu ilikua mob

Sipendangi ujinga mimi


GIRL:Aki babe niko na ball, nifanye??

BOY: piga cross ama ufunge goal!

GIRL: Sio hivo! huelewi..

BOY: patia referee simu!

Maboy hawapendi ujinga


Konda aliniitisha fair nikampea thao. Akaniuliza kwani sina pesa ingine, nilimtolea thao kumi.

Sipendi ujinga mwisho wa mwezi


I will create a group and add all my Exs ….halafu nileft.

Mimi sipendi ujinga


Siku izi naanza kusoma post kutoka nyuma nikiona haimalizii na sipendi ujinga ata sisomi juu sipendangi ujinga pia!!

Leave a Reply

Your email address will not be published.